Kuhusu MUMSO
MUMSO (Mtandao wa Wanafunzi) ni chombo rasmi cha uongozi wa wanafunzi kinachofanya kazi kuhakikisha sauti za wanafunzi zinasikika, huduma zinapatikana kwa urahisi, na huduma zinashughulikiwa kwa wakati.
Lengo
Kuwa daraja madhubuti kati ya wanafunzi, uongozi wa chuo, na taasisi za mikopo.
Dira
Mwanafunzi anayejiamini, anayepata haki na huduma kwa wakati popote alipo.
Wajibu Wetu
Kuratibu huduma, kushughulikia mikopo, na kutoa taarifa muhimu kwa wanafunzi wote.